Wyclef Jean
Mandhari
Wyclef Jean | |
---|---|
Wyclef Jean akitumbuiza mnamo 2008
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Neluset Wyclef Jean |
Pia anajulikana kama | Wyclef |
Amezaliwa | 17 Oktoba 1972 Croix-des-Bouquets, Haiti |
Asili yake | Newark, New Jersey, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop, reggae, kompa, R&B, Muziki wa asili |
Kazi yake | Mwanamuziki, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji, mwigizaji |
Ala | Sauti, gitaa, piano, ngoma |
Miaka ya kazi | 1987–hadi leo |
Studio | Ruffhouse, Columbia, J, Koch |
Ame/Wameshirikiana na | The Fugees |
Tovuti | www.wyclef.com |
Nelust Wyclef Jean (amezaliwa 17 Oktoba 1972) ni mwanamuziki, mwigizaji, mtayarishaji wa Kihaiti-Kimarekani. Pia anafahamika kwa kuwa kama mwanachama wa kundi la muziki wa hip hop la The Fugees.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Jean alizaliwa kama Nelust Wyclef Jean, mjini Croix-des-Bouquets, Haiti, alipewa jina la Wyclef Jean na baba yake mlezi, mchungaji aliyebadilisha jina lake baada ya kuitwa John Wycliffe[1]. Alihama yeye na familia yake na kuelekea zao mjini Brooklyn, New York akiwa na umri wa miaka tisa, na kisha baadaye kuelekea zao New Jersey.
Muziki
[hariri | hariri chanzo]- The Carnival (akiwa na Pras na Lauryn Hill) (Columbia, 1997)
- The Ecleftic: 2 Sides II a Book (Columbia, 2000)
- Masquerade (Columbia, 2002)
- Greatest Hits (Columbia, 2003)
- The Preacher's Son (J, 2003)
- Welcome to Haiti: Creole 101 (Koch, 2004)
- Carnival Vol. II: Memoirs of an Immigrant (Columbia, 2007)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Yéle.org". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-04. Iliwekwa mnamo 2008-09-09.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Wyclef.com Ilihifadhiwa 16 Februari 1998 kwenye Wayback Machine. (official site)
- Sak Pasé Records Ilihifadhiwa 31 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine. (a record label founded by Wyclef)
- Wyclef Jean on Facebook