Piano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Piano

Piano ni ala kubwa ya muziki yenye vibanzi vyeupe na vyeusi ambavyo hubonyezwa na kutoa sauti tofauti.

Vyombo vingine vinavyotumika pamoja na piano ni kama gitaa, ukulele, ngoma na kadhalika.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Piano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.