Waya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aina za waya.

Waya (wingi: nyaya; kutoka Kiingereza "wire") ni uzi wa chuma. Waya hutumika hasa katika kusafirishia umeme.

Rangi tofautitofauti za waya katika baadhi ya nchi, kwa mfano nchini Marekani, kijani au wazi ni waya (udongo) wa ardhi, nyeupe ni waya wa neutral, na nyeusi, rangi ya bluu, nyekundu, kahawia, njano, na machungwa ni waya wa moto (hai).

Aina za waya[hariri | hariri chanzo]

  • Waya wa kijani au wazi ni waya wa ardhi.
  • Waya nyeupe ni neutral.
  • Waya mweusi, mwekundu, na kahawia ni waya zenye moto (hai).