Blunted on Reality
Mandhari
Blunted on Reality | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya The Fugees | |||||
Imetolewa | 1 Februari 1994 | ||||
Imerekodiwa | 1991-1992 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Lebo | Ruffhouse Records | ||||
Mtayarishaji | Pras, Wyclef Jean, Khalis Bayyan, Salaam Remi, Brand X, Stephen Walker, Rashad Muhammad | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za The Fugees | |||||
|
Blunted on Reality ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa hip hop la Marekani, The Fugees. Ingawa albamu ilimaliziwa kunako 1992, ikawa inarejeshwa kwa mara kadhaa hadi hapo ilipokuja kutolewa rasmi mwanzoni mwa mwaka wa 1994. Baada ya kupata maslahi ya kimataifa kwa albamu yao iliyofuatia mwaka 1996, The Score, albamu hii ikaja kuuza kopi zaidi ya milioni nne kwa hesabu ya dunia nzima.
Orodha ya Nyimbo
[hariri | hariri chanzo]# | Jina | Mtayarishaji (wa) | Mwimbaji (wa) | Sampuli Zilizotumika[1] |
---|---|---|---|---|
1 | "Introduction" | Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel | ||
2 | "Nappy Heads" | Brand X, Pras, Rashad Muhammad na Wyclef Jean | Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel |
|
3 | "Blunted Interlude" | Pras na Wyclef Jean; Mtayarishaji-Mshiriki: Khalis Bayyan | Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel | |
4 | "Recharge" | Khalis Bayyan, Pras na Wyclef Jean | Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel | |
5 | "Freestyle Interlude" | Wyclef Jean na Pras Michel | ||
6 | "Vocab" | Pras na Wyclef Jean | Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel |
|
7 | "Special News Bulletin Interlude" | Khalis Bayyan, Wyclef Jean na Pras Michel | ||
8 | "Boof Baf" | Khalis Bayyan, Pras na Wyclef Jean | Khalis Bayyan,Spida (Mad Spider), Wyclef Jean na Pras Michel |
|
9 | "Temple" | Pras na Wyclef Jean; Mtayarishaji-Mshiriki: Khalis Bayyan | Wyclef Jean na Pras Michel | |
10 | "How Hard Is It?" | Khalis Bayyan, Pras na Wyclef Jean | Spida (Mad Spider), Khalis Bayyan, Wyclef Jean na Pras Michel | |
11 | "Harlem Chit Chat Interlude" | Rashad Muhammad | ||
12 | "Some Seek Stardom" | Rashad Muhammad na Stephen Walker | Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel |
|
13 | "Giggles" | Pras na Wyclef Jean; Mtayarishaji-Mshirikis: Khalis Bayyan na Rashad Muhammad | Wyclef Jean na Pras Michel | |
14 | "Da Kid from Haiti Interlude" | Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel | ||
15 | "Refugees on the Mic" | Pras na Wyclef Jean; Mtayarishaji-Mshiriki: Khalis Bayyan | Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel |
|
16 | "Living Like There Ain't No Tomorrow" | Pras na Wyclef Jean | Wyclef Jean na Pras Michel | |
17 | "Shout Outs from the Block" | Wyclef Jean na Pras Michel | ||
18 | "Nappy Heads (Remix)" | Salaam Remi | Lauryn Hill, Wyclef Jean na Pras Michel |
Single za albamu
[hariri | hariri chanzo]Single information |
---|
"Boof Baf"
|
"Nappy Heads"
|
"Vocab"
|
Chati
[hariri | hariri chanzo]Albamu
[hariri | hariri chanzo]Chati (1994) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
Top RnaB/Hip Hop Albums (U.S.) | 62 |
Top Heatseekers (U.S.) | 20 |
Chati za Single
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Song | Chati iliyoshika | ||
---|---|---|---|---|
Billboard Hot 100 | Hot RnaB/Hip-Hop Singles na Tracks | Hot Rap Singles | ||
1994 | "Nappy Heads" | 49 | 52 | 12 |
1995 | "Vocab" | - | 91 | 22 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Blunted on Reality kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |