Q (gazeti)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Q (magazine))
Kwa matumizi mengine ya Q, tafadhali fungua Q (maana).
Q
Paul ReesPaul Rees
MakundiMuziki
HutolewaKila mwezi
MchapishajiBauer Media Group
NchiUingereza
LughaKiingereza
TovutiQ the Music

Q ni jina la gazeti la muziki ambalo hutolewa kila mwezi huko nchini Uingereza. Hadi kufikia mwezi wa Juni katika mwaka wa 2007, gazeti limetoa nakala takriban 130,179.[1]

Gazeti hili lilianzishwa na Mark Ellen na David Hepworth ambao walichoshwa na vyombo vya habari za muziki vya wakati huo, ambapo walikuwa wakihisi kwamba vinadharau vizazi vile ambavyo vinanunua muziki wa CD wa zamani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Standard Certificate of Circulation - Q". Audit Bureau of Circulation. 2007-08-16. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-27. Iliwekwa mnamo 2008-02-08. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]