Q (gazeti)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kwa matumizi mengine ya Q, tafadhali fungua Q (maana).
Q
Paul Rees Paul Rees
Makundi Muziki
Hutolewa Kila mwezi
Mchapishaji Bauer Media Group
Nchi Uingereza
Lugha Kiingereza
Tovuti Q the Music

Q ni jina la kutaja gazeti la muziki ambalo hutolewa kila mwezi huko nchini Uingereza. Hadi kufikia mwezi wa Juni katika mwaka wa 2007, gazeti limetoa nakala takriban 130,179.[1]

Gazeti hili lilianzishwa na Mark Ellen na David Hepworth ambao walichoshwa na vyombo vya habari za muziki vya wakati huo, ambapo walikuwa wakihisi kwamba vinadharau vizazi vile ambavyo vinanunua muziki wa CD wa zamani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Standard Certificate of Circulation - Q. Audit Bureau of Circulation (2007-08-16). Iliwekwa mnamo 2008-02-08.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]