Melody Maker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Melody Maker (linachapishwa nchini Uingereza) lilikuwa, kwa mujibu wa mchapishaji wake IPC Media, gazeti la zamani duniani lenye kutoa habari za muziki kila wiki.[1] Lilianzishwa mnamo 1926 likiwa kama gazeti lililokuwa likilenga wanamuziki tu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Melody Maker to merge with NME, a Desemba 2000 BBC article

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melody Maker kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.