Reggae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Robert Nesta Marley.

Reggae (tamka: "rege") ni aina ya muziki kutoka nchini Jamaika. Ilianzishwa tangu 1968 na kuwa maarufu kimatifa kwa nyimbo za Bob Marley na kundi lake The Wailers.

Reggae hupendwa sana na watu wa Rastafari lakini pia kote duniani.

Vifaa vya kawaida katika bendi ya rasta ni pamoja na ngoma, gitaa ya besi, gitaa na kibodi pamoja na sauti.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reggae kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.