Rika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rika ni kundi la watu katika jamii ambao wana umri uliokaribiana na hupitia pamoja mivigha au hatua za maisha.

Mifumo ya marika ilikuwa na pengine bado ni kawaida katika makabila mbalimbali ya Afrika Mashariki. Mifumo hii ilitumiwa katika tohara, majeshi na utawala.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.