UK Singles Chart
Mandhari
UK Singles Chart ni chati inayotolewa na The Official UK Charts Company (OCC) kwa niaba ya soko la rekodi za Kiingereza. Chati huendeshwa katika wiki huanza Jumapili hadi Jumamosi, pamoja na chati zilizochapishwa kwenye jarida la muziki la Music Week (75 Bora tu), ChartsPlus (200 Bora), na kuchapishwa tena mtandaoni kwenye matovuti mbalimbali (hasa zile za 40 Bora tu, basi). Takriban 6,500 mauzo ya rejareja ya UK hutoa ripoti ya mauzo, vilevile na yale maduka ya mtandaoni ya UK pia hutoa ripoti hizo. Hii iko tofauti kidogo na Marekani, hazitumiki takwimu za kupigwa sana maredioni na kwenye TV kuwa kama tumio rasmi la kuanisha nani mkali wa UK Singles Chart. Mara nyingi single za UK hutolewa madukani katika siku ya Jumatatu.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- The Official UK Charts Company
- Music Week Top 75
- BBC Radio 1 Top 40
- everyHit.com Top 40
- ChartBuy Top 20
- hit40uk (OCC "Hit 40" charts for ILR radio stations)
- British Chart Books Classified
- Chart Log UK 1994-2007 Top 200
- Search any British chart run on the singles chart Top 75
- UKPopCharts.co.uk Top 40
- UK Number Ones 1952-Present
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu UK Singles Chart kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |