2001 (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
2001
2001 Cover
Studio album ya Dr. Dre
Imetolewa November 16, 1999
Imerekodiwa 1998/1999
Aina West Coast hip hop, gangsta rap, G-funk
Urefu 68:01
Lebo Aftermath, Interscope
Mtayarishaji Dr. Dre (nae mt. mtendaji), Mel-Man, Scott Storch, Lord Finesse
Wendo wa albamu za Dr. Dre
The Chronic
(1992)
2001
(1999)
Detox
(Kutangazwa)
Single za kutoka katika albamu ya 2001
  1. "Still D.R.E."
    Imetolewa: Oktoba 13, 1999
  2. "Forgot About Dre"
    Imetolewa: Januari 29, 2000
  3. "The Next Episode"
    Imetolewa: Julai 3, 2000
  4. "The Watcher"
    Imetolewa: Februari 26, 2001[1]

2001 ni jina la albamu ya pili ya msanii na mtayarishaji wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani - Dr. Dre. Albamu ilitolewa mnamo tar. 16 Novemba, 1999, kupitia studio za Interscope Records. Hili ni toleo la pili baada ya albamu ya kwanza ya Dr. Dre The Chronic (1992).

Kimsingi ilitayarishwa na Dr. Dre na Mel-Man, na Lord Finesse, na kushirikisha michango kadha wa kadha kutoka kwa marapa wengine kama vile Hittman, Snoop Dogg, Kurupt, Xzibit, Nate Dogg, na Eminem. 2001 inadhihirisha upanuzi katika kuandaa midundo ya G-funk ambayo ina maudhui ya gangsta rap au rap ya kihuni au kisela - kukiwa na utata kama vile vurugu, uimbaji ovyo-ovyo, matumzi ya madawa ya kulevya, masela wa mtaa, na uhalifu.

Albamu iliingia moja kwa moja hadi nafasi ya pili kwenye chati za Billboard 200 huko nchini Marekani, na kuuza nakala 516,000 katika wiki yake ya kwanza. Ina vibao vyake vikali vitatu vilivyopelekea albamu kupata kupewa ngazi ya platinamu na RIAA kwa kufanya mauzo yake ya nakala milioni sita nchini Marekani pekee.

Licha ya hali yake ya kupondwa dhidi ya maudhui na mashairi yake ya kihuni/kisela sana, 2001 imepokea tahakiki mwanana kutoka kwa wataalamu wa kutathmini muziki. Albamu ilisifiwa na watunzi wa nyimbo wa kudumisha mtindo wa West Coast hip hop baada ya kimya cha miaka mingi, wakati anaonesha hilo Dr. Dre anaweza kubaki kuwa maarufu hata kwa wasikilizaji wa kizazi kipya.

Mapokeo ya kitahakiki[hariri | hariri chanzo]

Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
Chanzo Makadirio
Allmusic 4/5 stars[2]
Robert Christgau C[3]
Entertainment Weekly A−[4]
Los Angeles Times 3.5/4 stars[5]
NME 6/10[6]
PopMatters 8/10[7]
The Rolling Stone Album Guide 4/5 stars[8]
The Source 4.5/5 stars[9]
Spin 7/10[10]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

No. JinaMtunzi (wa) Urefu
1. "Lolo" (intro) (akiwa_na Xzibit and Tray-Dee)Ilyasse Merazka 0:40
2. "The Watcher"  Nasir Jones, Andre Young, Ilyasse Merazka 3:26
3. "Fuck You" (akiwa_na Devin the Dude and Snoop Dogg)Young, Brian Bailey, Calvin Broadus, Devin Copeland, Merazka 3:25
4. "Still D.R.E." (akiwa_na Snoop Dogg)Young, Melvin Bradford, Scott Storch, Shawn Carter, Merazka 4:30
5. "Big Ego's" (akiwa_na Hittman)Young, Bailey, Bradford, Storch, Tracy Curry, Richard Bembery, Merazka 3:57
6. "Xxplosive" (akiwa_na Hittman, Kurupt, Nate Dogg and Six-Two)Young, Bailey, Ricardo Brown, Craig Longmiles, Nathaniel Hale, Chris Taylor, Merazka 3:35
7. "What's the Difference" (akiwa_na Eminem and Xzibit)Bradford, Marshall Mathers, Bembery, Alvin Joiner, Stefan Harris 4:04
8. "Bar One" (akiwa_na Traci Nelson, Ms. Roq and Eddie Griffin)Merazka 0:51
9. "Light Speed" (akiwa_na Hittman)Young, Bailey, Brown, Merazka 2:40
10. "Forgot About Dre" (akiwa_na Eminem)Young, Brown, Mathers 3:42
11. "The Next Episode" (akiwa_na Snoop Dogg, Kurupt and Nate Dogg)Young, Brown, Bailey, Bradford, Broadus 2:41
12. "Let's Get High" (akiwa_na Hittman, Kurupt and Ms. Roq)Young, Bailey, Mathers, Brown, Racquel Weaver, Merazka 2:27
13. "Bitch Niggaz" (akiwa_na Snoop Dogg, Hittman and Six-Two)Bailey, Bradford, Broadus, Longmiles, Merazka 4:13
14. "The Car Bomb" (akiwa_na Mel-Man and Charis Henry)  1:00
15. "Murder Ink" (akiwa_na Hittman and Ms. Roq)Young, Bailey, Weaver 2:28
16. "Ed-Ucation" (akiwa_na Eddie Griffin)  1:32
17. "Some L.A. Niggaz" (akiwa_na DeFari, Hittman, Xzibit, Knoc-Turn'al, Time Bomb, King T, MC Ren na Kokane)Young, Bailey, Joiner, Duane Johnson, Royal Harbor, Marquese Holder, Roger McBride 4:25
18. "Pause 4 Porno" (akiwa_na Jake Steed)Laylaw & Aaron Harris 1:32
19. "Housewife" (akiwa_na Kurupt na Hittman)Young, Bailey, Bradford, Brown, Curry 4:02
20. "Ackrite" (akiwa_na Hittman)Young, Bailey, Bradford, Merazka 3:39
21. "Bang Bang" (akiwa_na Knoc-Turn'al and Hittman)Young, Bailey, Mathers, Harbor, Merazka 3:42
22. "The Message" (akiwa_na Mary J. Blige na Rell)Ryan Montgomery 5:30

Chati zake[hariri | hariri chanzo]

Chati za kila wiki[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Chati Nafasi
1999 Dutch Albums Chart[11] 17
UK Albums Top 100[12] 4
US Billboard 200[13] 2
US Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[13] 1
2000 Belgian Albums Chart (Flanders)[11] 13
Belgian Albums Chart (Wallonia)[11] 36
Canadian Albums Chart[14] 2
France Albums Chart[11] 15
New Zealand Albums Chart[11] 11
Norway Albums Chart[11] 26
Swiss Music Charts[11] 50
2001 Ireland Albums Top 75[15] 7
2011 US Billboard Top Catalog Albums[16] 32

Chati za mwishoni mwa mwaka[hariri | hariri chanzo]

Chati (2000) Nafasi
US Billboard 200[17] 5
US Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[18] 1

Chati za mwishoni mwa muongo[hariri | hariri chanzo]

Chati (miaka ya 2000) Nafasi
US Billboard 200[19] 17
US Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[20] 1

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. The Watcher: Dr. Dre, Dr Dre and Eminem: Amazon.fr: Musique. Amazon.fr. Iliwekwa mnamo 2012-11-09.
  2. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named AMG
  3. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Christgau
  4. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named EW
  5. Calendar Writers (December 2, 1999). "Listen Up, Elves!". Los Angeles Times. Retrieved on 2009-07-11.
  6. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named NME
  7. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named PopMatters
  8. Hoard, Christian (ed.). "The Rolling Stone Album Guide". Rolling Stone: 249. November 2, 2004. Portions posted at Dr. Dre: Album Guide. Rolling Stone. Iliwekwa mnamo 2012-09-08.
  9. "Dr. Dre 2001". The Source (January 2000): pp.185–6. Archived from the original on 2009-07-22. Retrieved 2009-07-12. 
  10. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Tate
  11. 11.0 11.1 11.2 11.3 11.4 11.5 11.6 Dr. Dre - 2001 Archived 4 Machi 2018 at the Wayback Machine.. NewZealandCharts. Accessed March 10, 2011.
  12. Dr. Dre. The Official Charts Company (1999-11-27). Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
  13. 13.0 13.1 [2001 (albamu) katika Allmusic 2001 - Billboard Albums]. Allmusic. Accessed March 10, 2011.
  14. Top Albums/CDs - Volume 70, No. 15, February 21, 2000. RPM. Iliwekwa mnamo 2010-10-11.
  15. Top 75 Artist Album, Week Ending 15 March 2001. GFK Chart-Track (2001-03-15). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-06-07. Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
  16. 2001 - Dr. Dre. Billboard (2011-03-19). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-03-30. Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
  17. Year-end Charts: The Billboard 200. Billboard. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-10-20. Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
  18. Year-end Charts: Top R&B/Hip-Hop Albums. Billboard. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-10-20. Iliwekwa mnamo 2011-03-10.
  19. Best of the 2000s: Billboard 200 Albums. Billboard. Jalada kutoka [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] ya awali] juu ya 10 December 2010. Iliwekwa mnamo 2011-01-10.
  20. Best of the 2000s: R&B/Hip-Hop Albums. Billboard. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-12-10. Iliwekwa mnamo 2011-01-10.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]