Nenda kwa yaliyomo

Pac's Life (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Pac's Life”
“Pac's Life” cover
Single ya 2Pac akishirikiana na Ashanti, T.I.
kutoka katika albamu ya Pac's Life
Imetolewa 21 Desemba 2006
5 Februari 2007 (UK)
Muundo CD, vinyl
Imerekodiwa 1996
Aina Hip hop
Urefu 3:37
Studio Amaru/Interscope
Mtunzi Tupac Shakur, Clifford Harris, Ashanti
Mtayarishaji L. T. Hutton
Mwenendo wa single za 2Pac akishirikiana na Ashanti, T.I.
"Untouchable"
(2006)
"Pac's Life"
(2006)
"Playa Cardz Right"
(2008)
Mwenendo wa single za Ashanti
"Still on It"
(2005)
"Pac's Life"
(2006)
"Put a Little Umph in It"
(2007)
Mwenendo wa single za T.I.
"Live in the Sky"
(2005)
"Pac's Life"
(2006)
"Top Back"
(2007)

"Pac's Life" ni single iliyotolewa na kuimbwa na Tupac Shakur kutoka katika albamu iliyotolewa baada ya kufa kwake, Pac's Life. Wimbo umetayarishwa na L. T. Hutton, imejumlisha waimbaji wageni kama vile wa R&B Ashanti na rapa T.I. Mstari wa pili wa 2Pac ulirudiwa tena kutoka katika wimbo wa "This Life I Lead". Wimbo huo ulitolewa ukiwa kama moja ya sehemu ya nyimbo za kwenye albamu ya Pac's Life mnamo 2006. T.I. alisema kwenye mahojiano kwamba kufanya kazi katika wimbo wa Tupac ilikuwa kama heshima kubwa kwangu, kwa kumpenda wakati anakua. Wimbo ulikuwa kibao kikali kwenye 40 bora za nchini Ireland, Uingereza, na Ujerumani.

Wimbo ulifikia #4 kwenye chati za Billboard Bubbling Under R&B/Hip-Hop Singles mnamo 2 Desemba 2006 toleo la jarida la Billboard.

Kwenye MTV Australia, "Pac's Life" ulifikia kilele cha nafasi ya kwanza kwenye "Hip Hop Countdown", kwa kushinda matole mapya kutoka kwa Jay-Z, Eminem na 50 Cent, na Nas.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

UK CD

  1. "Pac's Life" (toleo la albamu) (Akishirikiana na T.I. na Ashanti)
  2. "Pac's Life" (Remix) (Akishirikiana na Snoop Dogg, T.I. na Chris Starr)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]