Nenda kwa yaliyomo

Beginnings: The Lost Tapes 1988–1991

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beginnings: The Lost Tapes 1988-1991
Beginnings: The Lost Tapes 1988-1991 Cover
Compilation album ya 2Pac
Imetolewa Juni 12, 2007 (Marekani)[1][2][3]
Aina Hip-hop
Lebo Koch
Mtayarishaji Chopmaster J
Wendo wa albamu za 2Pac
Pac's Life
(2006)
Beginnings: The Lost Tapes 1988-1991
(2007)
Nu-Mixx Klazzics Vol. 2
(2007)


Beginnings: The Lost Tapes 1988–1991 ni jina la kutaja albamu ya msanii wa rekodi za muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani, 2Pac. Albamu ilitolewa baada ya kifo chake - mnamo tar. 12 Juni, 2007[1][2][3] kupitia studio za Koch Records. Awali albamu ilitolewa mnamo tar. 18 Aprili, 2000 katika muundo wa bootleg, chini ya jina la The Lost Tapes: Circa 1989, lakini mauzo yake yalisimamishwa mara moja kutokana na tatizo la ukiukaji wa hatimiliki.

Albamu ilitayarishwa na mmoja wa wanakundi la Digital Underground, Chopmaster J, [4] Beginnings... ni mkusanyiko wa nyimbo zake za mwanzoni kabisa, ilitengenezwa kabla Shakur hajaanza kuifanyia kazi albamu yake ya kwanza, 2Pacalypse Now. [4]

Mapokezi ya haja

[hariri | hariri chanzo]
Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
Chanzo Makadirio
Allmusic 1.5/5 stars [Beginnings: The Lost Tapes 1988–1991 katika Allmusic link]

CD Universe walieleza ya kwamba "uimbaji wa Shakur na maudhui ya mashairi yake ni kumbukumbu ya waimbaji waliotamba mwisho/mwanzoni mwa miaka ya 1980s/1990 kama kina Big Daddy Kane na Rakim" kuliko hata nyimbo zake mwenyewe 2Pac za baadaye.[2] Jason Birchmeier wa Allmusic alikubali ya kwamba rapa huyu anaonekana "kuvutia zaidi hapa, shaka hakuna, lakini hata hivyo mzito kidogo na anagezea".[4] Birchmeier nae pia alieleza yake ya kwamba "kuna jambo hapa kidogo kuliko lile fuvu la mashine ya utayarishaji wa biti".[4]

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Panther Power" 4:36
  2. "The Case of the Misplaced Mic" 2:34
  3. "Let Knowledge Drop" 3:37
  4. "Never Be Beat" 5:33
  5. "A Day in the Life" 4:55
  6. "My Burnin' Heart" 6:25
  7. "Minnie the Moocher" 4:19
  8. "The Case of the Misplaced Mic, Pt. 2" 2:40
  9. "Static Mix, Pt. 1" 4:19
  10. "Static Mix, Pt. 2" 3:59
  1. 1.0 1.1 "Tupac Shakur Beginnings : The Lost Tapes 1988-1991 - Hip Hop Galaxy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-17. Iliwekwa mnamo 2013-10-01.
  2. 2.0 2.1 2.2 Tupac Shakur Beginnings: Lost Tapes 1988-1991 CD
  3. 3.0 3.1 Amazon.com: Beginnings The Lost Tapes 1988-1991: Music: Tupac Shakur
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 Birchmeier, Jason. "The Lost Tapes - 2Pac". Allmusic. Iliwekwa mnamo Septemba 25, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]