Nenda kwa yaliyomo

Nu-Mixx Klazzics

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nu-Mixx Klazzics
Nu-Mixx Klazzics Cover
Remix album ya 2Pac
Imetolewa 7 Oktoba 2003
Imerekodiwa 1995-1996
Aina West Coast hip hop, political hip hop, gangsta Rap
Urefu 54:27
Lebo Death Row Records
Koch Records
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za 2Pac
Tupac: Resurrection (Original Soundtrack)
(2003)
Nu-Mixx Klazzics
(2003)
2Pac Live
(2004)


Nu-Mixx Klazzics ni remix albamu ya hayati 2Pac, ilitolewa mnamo mwaka wa 2003 kupitia studio ya Death Row Records. Albamu lina nyimbo kadhaa kutoka kwenye All Eyez on Me, ikiwa na nyimbo saidizi kadhaa na sauti za wasanii wapya waalikwa kama vile Aaron Hall, K-Ci na JoJo, na Tha Outlawz. Nu Mixx Klazzics ilitolewa macho na watahakiki wakati wa kutolewa kwake. Maremixi yalipondwa na watahakiki kwa kuwa toleo lingine la Death Row la kutaka fedha za haraka kwa kuchukua matoleo halisi ya nyimbo za awali.[1] Hakuna wala video zilizotolea kwenye mradi huu. Albamu imeuza kiasi cha nakala 75,000 tu, basi.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "2 of Amerikaz Most Wanted" [Nu Mixx] akishirikiana na: Crooked I
  2. "How Do You Want It" [Nu Mixx] akishirikiana na: K-Ci na JoJo
  3. "Hail Mary" [Nu Mixx] akishirikiana na: Outlawz
  4. "Life Goes On"
  5. "All Eyez on Me" [Nu Mixx] akishirikiana na: Big Syke
  6. "Heartz of Men" [Nu Mixx]
  7. "Toss It Up" [Nu Mixx] akishirikiana na: Danny Boy, Aaron Hall, K-Ci and JoJo
  8. "Hit 'Em Up" [Nu Mixx] akishirikiana na: Outlawz
  9. "Never Had a Friend Like Me" [Nu Mixx]
  10. "Ambitionz Az a Ridah" [Nu Mixx]

References

[hariri | hariri chanzo]
  1. Richards, Jason. "CD Reviews: Joel Plaskett, The Stills, Joe Strummer And The Mescaleros and many more", Chart, 2003-10-21. Retrieved on 2009-09-11. Archived from the original on 2007-05-09.