Nenda kwa yaliyomo

Do for Love

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Do for Love”
“Do for Love” cover
Single ya 2Pac akishirikiana na BLACKstreet
kutoka katika albamu ya R U Still Down? (Remember Me)
B-side Brenda's Got a Baby
Imetolewa 1997
Muundo 12" single, CD
Imerekodiwa 1994;1996
Aina Rap, G-funk
Urefu 4:40
Studio Interscope
Jive Records
Amaru Entertainment
Mtunzi Alfons Kettner, Bobby Caldwell, Carsten Schack, Kenneth Karlin, Tupac Shakur
Mtayarishaji Soulshock & Karlin
Certification Gold (RIAA)
Mwenendo wa single za 2Pac akishirikiana na BLACKstreet
"I Wonder If Heaven Got a Ghetto" "Do for Love"
(1997)
"Changes"

"Do for Love" (awali iliitwa 'Sucka 4 Luv' katika umbo lake lisilotolewa) ulikuwa wimbo wa pili kutolewa kama single baada ya kifo cha Tupac Shakur kutoka katika albamu yake iliyotolewa baada ya kufa kwake R U Still Down? (Remember Me). Sampuli ya sauti ya wimbo huu imetokana na wimbo wa "What You Won't Do for Love" wa Bobby Caldwell. Wimbo ulifikia nafasi ya #21 kwenye chati za Billboard Hot 100. Video yake inamwonesha Tupac katika umbo la katuni; wimbo huu pia umetumia nukuu ya Sir Walter Scott ("O, what a tangled web we weave").