Made Niggaz
Mandhari
| “Made Niggaz” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
| Single ya Tupac Shakur kutoka katika albamu ya Gang Related | |||||
| Imetolewa | 1997 | ||||
| Muundo | 12" single | ||||
| Aina | Gangsta Rap | ||||
| Mwenendo wa single za Tupac Shakur | |||||
| |||||
"Made Niggaz" ni single iliyotolewa na Tupac Shakur ikiwa kama kibwagizo cha Gang Related na Outlawz. Wimbo ulitayarishwa na Tupac kwa ushirikiano wake na Johnny J.
