2Pac Live
2Pac Live | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
Live album ya 2Pac | |||||
Imerekodiwa | Agosti 6, 2004 | ||||
Aina | West coast hip hop, conscious hip hop | ||||
Lebo | Death Row/Koch | ||||
Wendo wa albamu za 2Pac | |||||
|
Makadirio ya kitaalamu | |
---|---|
Tahakiki za ushindi | |
Chanzo | Makadirio |
Allmusic | ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() |
RapReviews.com | ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() |
2Pac Live ni albamu ya ukumbini iliyotolewa na rapa Tupac Shakur. Albamu ilitolewa mnamo tar. 6 Agosti, 2004 na studio ya Koch Records na hii ndiyo albamu ya ukumbini ya Shakur.
Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]
- "Live Medley"
- "Intro"
- "Ambitionz az a Ridah"
- "So Many Tears"
- "Troublesome"
- "Hit 'Em Up" (akishirikiana na Outlawz)
- "Tattoo Tears" (yenyewe)
- "Heartz of Men"
- "All Bout U"
- "Never Call U Bitch Again"
- "How Do U Want It"
- "2 of Amerikaz Most Wanted"
- "California Love"
Historia ya chati[hariri | hariri chanzo]
- Albamu
Nafasi za Chati | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Deutsch Charts | 86 [3] |
French Charts | 84 [4] |
Irish Charts | 52 |
U.S. Billboard 200 | 54 [5] |
U.S. Billboard Top R&B/Hip Hop Albums | 16 [5] |
U.S. Billboard Top Independent Albums | 3 [5] |
UK Charts | 67 [6] |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ [2Pac Live katika Allmusic 2Pac Live Review]. Allmusic. Iliwekwa mnamo 27 April 2011.
- ↑ 2Pac Live Review. RapReviews.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-05-25. Iliwekwa mnamo 27 April 2011.
- ↑ German Charts. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-24. Iliwekwa mnamo 27 April 2011.
- ↑ French Charts. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-11-02. Iliwekwa mnamo 27 April 2011.
- ↑ 5.0 5.1 5.2 [2Pac Live katika Allmusic Tupac Charts]. Allmusic. Iliwekwa mnamo 27 April 2011.
- ↑ UK Charts. Iliwekwa mnamo 27 April 2011.