Nenda kwa yaliyomo

Baby Don't Cry (Keep Ya Head Up II)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Baby Don't Cry (Keep Ya Head Up II)”
“Baby Don't Cry (Keep Ya Head Up II)” cover
Single ya 2Pac akishirikiana na Heavynn, E.D.I. Mean, H.E.A.T. na Young Noble
kutoka katika albamu ya Still I Rise
Imetolewa 1999
Muundo CD
Imerekodiwa 1996
Aina Hip hop
Urefu 4:22
Studio Interscope/Amaru/Death Row
Mtunzi Tupac Shakur
Mwenendo wa single za 2Pac akishirikiana na Heavynn, E.D.I. Mean, H.E.A.T. na Young Noble
"Unconditional Love"
(1998)
"Baby Don't Cry (Keep Ya Head Up II)"
(1999)
"Who Do U Believe In?"
(1999)

"Baby Don't Cry (Keep Ya Head Up II)" ni single ya Tupac Shakur iliyotolewa baada ya kufa kwake. Ndani yake ameimba na kundi zima la Outlawz na inatoka katika albamu ya Still I Rise. Wimbo unamshirikisha msanii kama vile H.E.A.T., E.D.I. Mean na Young Noble na baadhi ya sauti kutoka kwa Heavynn, Erika na Tiana wa bendi ya pop ya H.E.A.T . Ulikuwa wimbo pekee kutoka katika albamu kuwa na muziki wa video. Wimbo ulifikia #72 kwenye chati za Billboard Hot 100. Kuna fununu za kwamba toleo halisi la wimbo huu lina biti sawa kabisa na "Keep Ya Head Up".

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. LP Version
  2. Soulshock & Karlin Remix Dirty Version
  3. Instrumental
  4. Acappella