The Prophet: The Best of the Works

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Prophet: The Best Of The Works
The Prophet: The Best Of The Works Cover
Greatest hits ya Tupac Shakur
Imetolewa 2003
Imerekodiwa 1994-1996
Aina Rap
Urefu Kigezo:Duration
Lebo Death Row
Wendo wa albamu za Tupac Shakur
Nu-Mixx Klazzics
(2003)
The Prophet: The Best Of The Works
(2003)
2Pac Live
(2004)


The Prophet: The Best Of The Works ni jina la kutaja albamu ya hayati Tupac Shakur. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 2003 kupitia studio ya Death Row Records. Albamu ina nyimbo kadhaa kutoka katika albamu ya All Eyez on Me, The Don Killuminati: The 7 Day Theory na Thug Life: Volume 1.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

# JinaWasanii Walioshirikishwa Urefu
1. "Only God Can Judge Me"  Rappin' 4-Tay 4:56
2. "Just Like Daddy"  Outlawz 5:08
3. "Me and My Girlfriend"    5:10
4. "Against All Odds"    4:24
5. "Tradin War Stories"  CPO & Storm 5:27
6. "Skandalouz"  Nate Dogg 4:09
7. "2 of Amerikaz Most Wanted"  Snoop Doggy Dogg 4:06
8. "To Live & Die in LA"  Outlawz 4:35
9. "California Love"  Dr. Dre 6:25
10. "Pour Out a Little Liquor"    3:31
11. "Life of an Outlaw"  Outlawz 4:56
12. "All Eyez On Me"    5:09
13. "Wanted Dead Or Alive"  Snoop Doggy Dogg 4:37
14. "Staring Through My Rear View"  Outlawz 5:12

  • Only God Can Judge Me, Tradin' War Stories, Skandalouz, 2 of Amerikaz Most Wanted, California Love & All Eyez On Me, zote awali zilionekana kwenye All Eyez On Me.
  • Just Like Daddy, Me & My Girlfriend, Against All Odds, To Live & Die in L.A. & Life Of An Outlaw, zote awali zilionekana kwenye The Don Killuminati: The 7 Day Theory.
  • Pour Out A Little Liquor, awali ilionekana kwenye Thug Life: Volume 1.
  • Wanted Dead Or Alive, awali ilionekana kwenye kibwagizo cha Gridlock'd.
  • Staring Through My Rear View, awali ilionekana kwenye kibwagizo cha Gang Related.

Historia ya chati[hariri | hariri chanzo]

Albamu
Nafasi cha Chati Nafasi
iliyoshika
Irish Charts 41[1][2]
New Zealand Charts 40[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "GFK Chart-Track". Chart-track.co.uk. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-04. Iliwekwa mnamo 2012-03-06. 
  2. "GFK Chart-Track". Chart-track.co.uk. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-04. Iliwekwa mnamo 2012-03-06. 
  3. Steffen Hung. "2 Pac - The Prophet - The Best Of The Works". charts.org.nz. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-11-02. Iliwekwa mnamo 2012-03-06.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20121102124749/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret= ignored (help)