Greatest Hits (2Pac)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Greatest Hits
Greatest Hits Cover
Greatest hits ya 2Pac
Imetolewa 24 Novemba 1998
Imerekodiwa 1991-1996
Aina West Coast hip hop, g-funk, hip hop ya kisiasa, gangsta rap, Conscious hip hop, Hip hop
Urefu 114:43
Lebo Amaru/Death Row/Interscope Records
Mtayarishaji Afeni Shakur, Big D the Impossible, David Blake, Dat Nigga Daz, DJ Daryl, Nate Dogg, Warren G, Ramone "Pee Wee" Gooden, Johnny "J", Suge Knight, Live Squad, Reggie Moore, Tony Pizarro, Raw Fusion, Shock G, Soulshock & Karlin, 2Pac
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za 2Pac
R U Still Down? (Remember Me)
(1997)
Greatest Hits
(1998)
Still I Rise
(1999)
Single za kutoka katika albamu ya Greatest Hits
 1. "Changes"
  Imetolewa: 28 Desemba 1998
 2. "Unconditional Love"
  Imetolewa: 1999


Greatest Hits ni toleo la diski pamoja la albamu za vibao vikali vya rapa marehemu 2Pac, ilitolewa na Death Row Records mnamo mwaka wa 1998. Albamu hii haipo katika mfululizo wa matoleo ya albamu za muziki wa 2Pac; vibao 21 maarufu, baadhi zilihaririwa kwa sababu za kisheria, ikiwa imeongozana na nyimbo nyingine nne ambazo awali hazikutolewa: "God Bless the Dead", "Unconditional Love", "Troublesome '96", na "Changes" ambayo baadaye imekuja kuwa moja kati ya nyimbo za 2Pac zenye-kujulikana sana na sana. Albamu ilitunukiwa 9x Platinum. Baadhi ya nyimbo ni maremixi ambayo awali hayakutolewa na matoleo ya tepu.

“God Bless the Dead” (akishirikiana na Stretch of Live Squad) inaanza na Tupac anasema, "rest in peace to my motherfucker Biggy Smallz." Hii ni makosa yalifirikiwa kwamba ni The Notorious B.I.G. au labda mtayarishaji Big D The Impossible (Deon Evans). Ilikuja kujulikana hapo baadaye kwamba ni raifiki wa Stretch aliyeitwa Drik ambaye aliuawa. [1]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Disc 1:

 1. "Keep Ya Head Up" – 4:24
 2. "2 of Amerikaz Most Wanted" (akishirikiana na: Snoop Doggy Dogg) – 4:07
 3. "Temptations" – 5:02
 4. "God Bless the Dead" (akishirikiana na: Stretch) – 4:22 - (awali haijatolewa)
 5. "Hail Mary" (akishirikiana na: Outlawz, Prince Ital Joe) – 5:12
 6. "Me Against the World" (akishirikiana na: Dramacydal) – 4:39
 7. "How Do U Want It?" (akishirikiana na: K-Ci na JoJo) – 4:48
 8. "So Many Tears" – 3:58
 9. "Unconditional Love" – 3:59 - (awali haijtolewa)
 10. "Trapped" – 4:45 (Some lyrics are censored from the original album version)
 11. "Life Goes On" – 5:02
 12. "Hit 'Em Up" (akishirikiana na: Outlawz) – 5:12

Disc 2:

 1. "Troublesome '96" – 4:36 - (awali haijtolewa)
 2. "Brenda's Got a Baby" – 3:54
 3. "I Ain't Mad at Cha" (akishirikiana na: Danny Boy) – 4:56
 4. "I Get Around" (akishirikiana na: Digital Underground) – 4:54
 5. "Changes" (akishirikiana na: Talent) – 4:29 - (awali haijtolewa)
 6. "California Love (Toleo Halisi)" (akishirikiana na: Dr. Dre, Roger Troutman) – 4:45
 7. "Picture Me Rollin'" (akishirikiana na: Danny Boy, CPO, Big Syke) – 5:15
 8. "How Long Will They Mourn Me?" (with Thug Life akishirikiana na: Nate Dogg) – 3:52
 9. "Toss It Up" (akishirikiana na: K-Ci na JoJo, Danny Boy, Aaron Hall) – 4:43 (A new mix with some altered lyrics)
 10. "Dear Mama" – 4:40
 11. "All About U" (akishirikiana na: Nate Dogg, Top Dogg, Outlawz) – 4:33 (Imebadilishwa kutoka katika toleo halisi la albamu)
 12. "To Live & Die in L.A." (akishirikiana na: Val Young) – 4:33
 13. "Heartz of Men" – 4:41

Nafasi za chati za albamu[hariri | hariri chanzo]

Chati Nafasi ilizoshika
Billboard 200 #3
Top R&B/Rap Albums #1
Swedish Album Chart #40

Single za albamu[hariri | hariri chanzo]

Maelezo ya Single
"Unconditional Love"
 • Imetolewa: 1998
 • B-side: N/A
"Changes"
 • Imetolewa: 1998
 • B-side: N/A

Sampuli za Baadaye[hariri | hariri chanzo]

 • "Changes"
  • "Black President" ya Nas kutoka katika albamu ya Untitled

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Live Squad info [1] Archived 20 Mei 2010 at the Wayback Machine.