Gridlock'd (kibwagizo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gridlock'd
Gridlock'd Cover
Soundtrack ya Wasanii mbalimbali
Imetolewa Januari 28, 1997
Imerekodiwa 1996
Aina Hip hop, R&B
Urefu 69:35
Lebo Interscope
Death Row
Mtayarishaji Daz Dillinger, Johnny "J", Sam Sneed
Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
Chanzo Makadirio
Allmusic 3/5 stars[1]
USA Today 2.5/4 stars

Gridlock'd ni kibwagizo rasmi kwa ajili ya filamu iliyoongozwa na Vondie Curtis-Hall - Gridlock'd. Kibwagizo kilitolewa mnamo 28 Januari 1997 kupitia studio ya Interscope Records. Imeuza nakala 150,500 katika wiki yake ya kwanza na kuingia moja kwa moja katika nafasi ya #1 kwenye chati za Billboard 200, ikaporomoka hadi nafasi ya pili katika wiki iliyofuata na bado inashikiriia nafasi yake ya "US Albums: Biggest drops from the Top 3" - Top 20 14th pamoja na kuporomoka kwake kutoka nafasi ya pili hadi ya 14 katika wiki yake ya tatu.

Albamu ilitunukiwa hadhi ya Dhahabu na RIAA miezi miwili mbele, kwa kuuza nakala 500,000 copies.[2]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wanted Dead or Alive" - 2Pac/Snoop Doggy Dogg
  2. "Sho Shot" - The Lady of Rage
  3. "It's Over Now" - Danny Boy
  4. "Don't Try To Play Me Homey" - Dat Nigga Daz
  5. "Never Had A Friend Like Me" - 2Pac
  6. "Why" - Nate Dogg
  7. "Out the Moon" (Boom, Boom, Boom) - Snoop Doggy Dogg/Soopafly/Techniec/Bad Azz/Tray Dee/2Pac
  8. "I Can't Get Enough" - Danny Boy
  9. "Tonight It's On" - B.G.O.T.I.
  10. "Off The Hook" - Snoop Doggy Dogg/Charlie Wilson/Val Young/James DeBarge
  11. "Lady Heroin" - J-Flexx
  12. "Will I Rize" - Storm/Val Young
  13. "Body And Soul" - O.F.T.B. feat. Jewell
  14. "Life Is a Traffic Jam" - 2Pac/Eight Mile Road
  15. "Deliberation" - Anonymous - Cody Chesnutt

Nafasi ya Chati[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Albamu Nafasi ya chati
Billboard 200
1997 "Gridlock'd (kibwagizo)" 1

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [Gridlock'd (kibwagizo) katika Allmusic Allmusic review]
  2. Recording Industry Association of America. RIAA. Iliwekwa mnamo 2012-02-20.