Poetic Justice (kibwagizo)
Mandhari
Poetic Justice | ||
---|---|---|
Soundtrack ya Wasanii mbalimbali | ||
Imetolewa | June 29, 1993 | |
Imerekodiwa | 1991-92 | |
Aina | Hip hop, R&B, West Coast hip hop | |
Urefu | 45:51 | |
Lebo | New Deal Music/Epic Soundtrax | |
Mtayarishaji | Dallas Austin, Warren G, Babyface, L.A. Reid, Daryl Simmons, Raphael Saadiq, Pete Rock, Naughty by Nature, Dr. Dre, Tupac Shakur, Sly and Robbie, Nice & Smooth |
Poetic Justice ni kibwagizo kwa ajili ya filamu ya mwaka wa 1993 Poetic Justice. Kibwagizo hiki kilitolewa mnamo tar. 29 Juni, 1993, kupitia studio za Epic Records/Epic Soundtrax na ina mchanganyiko wa vibao vya hip hop na contemporary R&B. Albamu ilipata mafanikio, kwa kushika nafasi ya 23 kwenye chati za Billboard 200 na ilitunukiwa Dhahabu na RIAA mnamo Agosti 25, 1993.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- "Get It Up"- 4:25 (TLC)
- "Indo Smoke"- 5:24 (Mista Grimm, Warren G na Nate Dogg)
- "One in a Million"- 4:05 (Pete Rock & CL Smooth)
- "Poor Man's Poetry"- 3:00 (Naughty by Nature)
- "Definition of a Thug Nigga"- 4:10 (2Pac)
- "Cash in My Hands"- 3:53 (Nice & Smooth)
- "I Wanna Be Your Man"- 3:55 (Chaka Demus & Pliers)
- "Niggas Don't Give a Fuck"- 4:41 (Tha Dogg Pound)
- "Well Alright"- 4:00 (Babyface)
- "Waiting for You"- 5:15 (Tony! Toni! Toné!)
- "Call Me a Mack"- 4:06 (Usher)
- "Nite & Day"- 5:04 (Cultural Revolution)
- "I've Been Waiting"- 4:20 (Terri & Monica)
- "Never Dreamed You'd Leave in Summer"- 2:55 (Stevie Wonder)
- "Justice's Groove"- 4:35 (Stanley Clarke)
Kibao maalumu chenye asili ya Amerika Kusini: Janet Jackson-"Again"