Ghetto Gospel
“Ghetto Gospel” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya 2Pac akishirikiana na Elton John kutoka katika albamu ya Loyal To The Game na Best of 2Pac Part 2 - Life | |||||
B-side | "Thugs Get Lonely Too" | ||||
Imetolewa | 21 Agosti 2005 | ||||
Muundo | CD | ||||
Aina | West Coast hip hop, conscious hip hop | ||||
Urefu | 3:58 | ||||
Mtunzi | Tupac Shakur, Elton John, Bernie Taupin | ||||
Mtayarishaji | Eminem | ||||
2Pac single 2Pac akishirikiana na Elton John | |||||
| |||||
Mwenendo wa single za Elton John | |||||
|
"Ghetto Gospel" ni wimbo wa rapa Tupac Shakur, ambo ulitolewa kama single ya pili baada ya kufa kwake. Wimbo unatoka katika albamu mwaka wa 2004, Loyal to the Game. Wimbo ulitungwa na Tupac Shakur ukiwa kama kilio cha "kumaliza vita mitaani", unalenga hasa utofauti wa ubaguzi wa rangu usio na maana na upingaji wa sera za haki za binadamu, hasa kwa wale walio-maskini mno. Wimbo umeshirikisha kibao cha Elton John cha Indian Sunset. Kwenye Ghetto Gospel 2pac anaelezea kinagaubaga kuhusu maisha ya watu wanaoishi ghetto. Wimbo umetayarishwa na Eminem. "Ghetto Gospel" ulikuwa wimbo pekee kutoka kwenye Loyal to the Game ukisindikizwa na muziki wa video. Mwishoni kabisa mwa video kuna ujumbe kutoka kwa mama'ke, Afeni Shakur, akisema "Kumbuka kujiweka hai, kwani hakuna muhimu zaidi ya hicho." Wimbo ulifikia nafasi ya #1 kwenye chati za UK, baada ya chini zaidi ya mwaka, rapa mhasimu The Notorious B.I.G. amefikia nafasi #1 na single yake ya Nasty Girl.
Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]
- CD single
# | Jina | Mtunzi (wa) | Sampuli | Urefu |
---|---|---|---|---|
1. | "Ghetto Gospel" (akim. Elton John) |
|
3:58 |
- UK CD single
# | Jina | Mtunzi (wa) | Mtayarishaji | Urefu |
---|---|---|---|---|
1. | "Ghetto Gospel" (akim. Elton John) | Eminem | 3:58 | |
2. | "Thugs Get Lonely Too" (akim. Nate Dogg) | Eminem | 4:48 |
Pia kulikuwa na toleo ambalo halijamshirikisha Elton John.
Matoleo Rasmi[hariri | hariri chanzo]
- Ghetto Gospel (Album Version Explicit)
Michakaliko ya Chati[hariri | hariri chanzo]
Ilifika nafasi ya #3 kwenye chati European Hot 100 Singles ambapo ilikaa kwa majuma mawili.
Chati | Nafasi |
---|---|
Australian Singles Chart | |
Austrian Singles Chart | |
Belgian Singles Chart | |
Danish Singles Chart | |
Irish Singles Chart | |
New Zealand Singles Chart | |
Swiss Singles Chart | |
UK Singles Chart | |
Billboard European Hot 100 |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
1. http://www.australian-charts.com/showitem.asp?interpret=2+Pac&titel=Ghetto+Gospel&cat=s Archived 21 Septemba 2010 at the Wayback Machine. Retrieved 19 Aprili 2009
2. http://www.billboard.com/bbcom/esearch/chart_display.jsp?cfi=349&cfgn=Singles&cfn=European+Hot+100+Singles&ci=3059686&cdi=8370980&cid=07%2F16%2F2005[dead link] Retrieved 19 Aprili 2009