Nenda kwa yaliyomo

Elton John

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elton John
Elton John
Elton John
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Elton John
Nchi Uingereza
Alizaliwa 25 Machi 1947
Aina ya muziki Rock
Pop
Piano rock
Glam rock
Kazi yake Mmanamuziki
Mwimbaji-mtunzi
Mtayarishaji
Miaka ya kazi 1964- hadi leo
Ala Sauti
Kindanda
Kampuni Uni
MCA
Geffen
Rocket/Island
Universal
Interscope
Mercury
UMG

Sir Elton Hercules John (jina la kuzaliwa: Reginald Kenneth Dwight; 25 Machi 1947) ni mwimbaji wa muziki wa pop-rock, mtunzi na mpigaji kinanda kutoka nchini Uingereza. Alianza kuwa maarufu kunako miaka ya 1970, pale yeye na mtunzi mwingine wa nyimbo ajulikanae kwa jina la Bernie Taupin kuandika nyimbo nyingi walizokuwa wakiimba katika kumbi mbalimbali na hata nyingine kuzikurekodi.

John ameanza kuwa nyota maarufu, si kwa uwezo wake tu wa kimuziki tu, bali hata akiwa ukumbini huwa na yeye anaruka majoka (kucheza). John pia alitunga nyimbo nyingi kwa ajili ya filamu: filamu hizo ni kama vile ya The Lion King (1994) na The Road to El Dorado (2000) na pia huwa anafanya kazi za kujitolea.

Katika kumbukumbu ya Princess Diana, Elton alitoa tena kile kibao chake cha Candle in the Wind mnamo mwaka 1997, lakini wimbo halisi ulitungwa kwa ajili ya Marilyn Monroe. Wimbo huo ulitamba sana ukawa miongoni mwa nyimbo maarufu na zenye mauzo ya juu kwa muda wote (kuuzwa kwa muda miaka 100). John vilevile ni shoga na alijitangaza kama anafanya mambo hayo kunako mwaka 1976.

Ilivyofika mwaka 1984, John akamwoa mtayarishaji muziki wa Kijerumani Renate Blauel katika sikukuu ya wapendanao, mjini Sydney, lakini walitalikiana baada ya miaka minne. Baadaye John alitangaza tena ule mchezo wake wa ulawiti, ila amekuja vingine, safari hii yeye ndiye analawitiwa (msenge) badala ya yeye kulawiti wenziye.

Mwaka wa 1998 Elton John alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elton John kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.