Marilyn Monroe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marilyn Monroe mnamo 1952
Marilyn Monroe photo pose Seven Year Itch.jpg

Marilyn Monroe (alizaliwa tar. 1 Juni 19265 Agosti , 1962) alikuwa mwigizaji wa filamu, mwimbaji na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Alikuwa miongoni mwa nyota wa filamu maarufu kati ya mwaka 1950 na 1960.

Maisha ya ndoa ya Marilyn Monroe[hariri | hariri chanzo]

 Mume Ameolewa Katarikiwa
James Dougherty 19 Juni 1942 13 Septemba 1946
Joe DiMaggio 14 Januari 1954 27 Oktoba 1954
Arthur Miller 29 Juni 1956 20 Januari 1961

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marilyn Monroe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.