Nu-Mixx Klazzics Vol. 2

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nu Mixx Klazzics Vol. 2
Nu Mixx Klazzics Vol. 2 Cover
Remix album ya 2Pac
Imetolewa 14 Agosti 2007(US)
Aina Hip-hop
Lebo Amaru/Death Row/Koch
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za 2Pac
Beginnings: The Lost Tapes 1988-1991
(2007)
Nu-Mixx Klazzics Vol. 2
(2007)
Best of 2Pac
(2007)[1]


Nu Mixx Klazzics Vol. 2 - Evolution: Duets & Remixes ni toleo la remix albamu kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop hayati Tupac Shakur. Albamu ilitolewa kupitia studio za Koch. Albamu hii inaifuata albamu ya Tupac Shakur ya Nu-Mixx Klazzics, ambayo ilitolewa awali mnamo tar. 7 Oktoba 2003. Jina lake halisi lilikuwa Evolution: Duets & Remixes, na -litolewa mnamo 14 Agosti 2007.

Toleo hili limejumlisha maremixi kadhaa ya rekodi zake albamu mbili zilizouza sana, All Eyez on Me na The Don Killuminati: The 7 Day Theory. Mtayarishaji wa hip-hop na rapa Daz Dillinger, Sha Money XL, na Street Radio walikuwa moja kati ya watu wa upande wa utayarishaji wa rekodi. Albamu ilifikia nafasi ya #45 kwenye chati za Billboard 200 ikiwa na karibu ya mauzo 15,000 kwenye wiki yake ya kwanza ya chati.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

# Wimbo Walioshirikishwa Watayarishaji Urefu
1 "Picture Me Rollin" Kurupt, Butch Cassidy Street Radio, Bob Perry, Arnold Mischkulnig 3:39
2 "Keep Goin'[Nu-Mixx]" Hussein Fatal Street Radio 3:16
3 "What'z Ya Phone # [Nu Mixx]" Candy Hill Illmind 3:51
4 "Staring Through My Rear View" Dwele Street Radio, Bob Perry, Arnold Mischkulnig 4:15
5 "Hail Mary (Rock Remix)" The Outlawz Ill Will Fulton 4:20
6 "Got My Mind Made Up [Nu-Mixx]" The Outlawz, Kurupt Street Radio, Bob Perry, Arnold Mischkulnig 5:12
7 "Pain [Nu Mixx]" Styles P, Butch Cassidy Black Jeruz 4:53
8 "Lost Souls [Nu-Mixx]" The Outlawz Street Radio, Bob Perry, Arnold Mischkulnig 4:37
9 "Wanted Dead or Alive" Snoop Dogg Jiggolo 3:03
10 "Initiated [Nu-Mixx]" Boot Camp Clik Jake One 3:46
11 "How Do U Want It [Nu Mixx]" BIGG E.D.I. 4:08
12 "Picture Me Rollin'" The Outlawz Claudio Cueni 5:10
13 "Lost Souls'" (Best Buy Bonus track) Daz Dillinger & M-1 of dead prez Street Radio, Bob Perry, Arnold Mischkulnig 4:57
14 "Initiated [Nu Mixx] (Best Buy Bonus Track)" Boot Camp Clik Jake One, Street Radio 4:33

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]