Nenda kwa yaliyomo

Remix albamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Remix album)

Remix albamu ni albamu hasa inayohusisha maremixi au matoleo yaliyorekodiwa upya na wasanii katika matoleo yao ya karibuni. Muingoni mwa remixi albamu zilizouza vizuri ni pamoja na Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix ya Michael Jackson, Love ya The Beatles, J_to_tha_L-O!:_The_Remixes ya Jennifer Lopez, B'z The "Mixture" ya B'z, "You Can Dance" ya Madonna, "Shut Up and Dance" ya Paula Abdul, "Reanimation" ya Linkin Park, "Further Down the Spiral" ya Nine Inch Nails, na Thalía's Hits Remixed ya Thalia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Remix albamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.