Nenda kwa yaliyomo

Temptations

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Temptations (song))
“Temptations”
“Temptations” cover
Single ya 2Pac
kutoka katika albamu ya Me Against the World
Imetolewa 29 Agosti 1995
Muundo 12", Cassette, CD
Imerekodiwa 1993
New York City, New York
Aina Hip hop
Urefu 5:00
Studio Interscope
Mtunzi T. Shakur, R. Troutman, L. Troutman, S. Murdock, G. Clinton, Jr., G. Shider, D. Spradley, O.S. Harvey, Jr.
Mtayarishaji Easy Mo Bee, Trackmasters
Mwenendo wa single za 2Pac
"So Many Tears"
(1995)
"Temptations"
(1995)
"California Love"
(1995)

"Temptations" ni jina la kutaja wimbo wa rapa Tupac Shakur. Ulitolewa ukiwa kama single kutoka katika albamu yake ya Me Against the World. Wimbo ulitayarishwa na Easy Mo Bee. Wimbo uliweza kufanya vizuri chini Marekani, kwa kushika nafasi ya 68 kwenye chati za Billboard Hot 100. Muziki wake wa video umepata kuwaonesha baadhi ya wasanii wa rap kadhaa kutoka huko West Coast, ikiwa ni pamoja na Ice-T, Coolio, B-Real, na Warren G, vilevile Salt-N-Pepa, Treach, Bill Bellamy, na Jada Pinkett Smith. Tupac hakuweza kuonekana kwenye video ya wimbo huu kwa sababu alikuwa amefungwa jela. Wimbo ulishika nafasi ya #13 nchini Marekani kwenye chati za Rap, #35 kwenye chati za Hip Hop/R&B na #68 kwenye Billboard Hot 100.

"Temptations" uliingizwa jwenye albamu ya Vibao Vikali vya 2Pac mnamo 1998.

Ordha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

CD single

[hariri | hariri chanzo]
  • A1 "Temptations" (Clean Radio Edit) (4:27)
  • A2 "Temptations" (Album Version) (5:00)
  • A3 "Temptations" (Instrumental) (4:58)
  • B1 "Temptations" (Battlecat Hip-hop Mix) (5:07)
  • B2 "Temptations" (Battlecat Club Mix) (5:46)
  • B3 "Temptations" (Battlecat Club Mix Instrumental) (5:03)

Promo single

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Temptations" (Radio Edit)
  2. "Temptations" (Battlecat Hip-hop Mix Clean Edit)