Prince
Prince | |
---|---|
![]() | |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | Minneapolis, Minnesota, Marekani | Juni 7, 1958
Asili yake | Minneapolis, Minnesota, Marekani |
Amekufa | 21 april 2016 |
Aina ya muziki | Funk, R&B, rock |
Miaka ya kazi | 1976-2016 |
Studio | Warner Bros., Paisley Park, NPG, Columbia, Arista, Universal |
Tovuti | http://www.paisleyparkstudios.com/ |
Prince Rogers Nelson (7 Juni 1958 - 21 Aprili 2016) alikuwa mwigizaji wa filamu na mwanamuziki maarufu wa muziki wa funk, R&B na rock kutoka nchini Marekani.