Warner Bros.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Warner Bros. Records)
Jump to navigation Jump to search
Nembo ya Warner Bros
Nembo ya Warner Bros.

Warner Bros. Entertainment, Inc. (pia inajulikana kama Warner Bros. Pictures, au rahisi zaidi Warner Bros. — kifupi cha jina rasmi la zamani ambalo bado hutumika Warner Brothers[1]) ni kampuni moja kati ya watayarishaji wakubwa duniani wa filamu na burudani za televisheni.

Ni kundi kubwa la burudani, studio ya filamu na studio ya rekodi. Inamilikiwa na Time Warner. Warner Bros. anajulikana kwa Looney Tunes.

Wanao hakimiliki kwenye mfululizo wa filamu wa Harry Potter, mfululizo wa filamu ya Batman, na mfululizo wa filamu ya Superman, DC Extended Universe .

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Turner, Warner Brothers to launch channel in India. Business Standard (online) (Friday, Mar 06, 2009). Iliwekwa mnamo 2009-03-05.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warner Bros. kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.