Nenda kwa yaliyomo

Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z)
Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.
Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. Cover
Studio album ya 2Pac
Imetolewa 16 Februari 1993
Imerekodiwa 1992-1993
Aina Political rap, West Coast hip hop
Urefu 64:25
Lebo Atlantic/Interscope Records
Amaru/BMG/Jive Records
Mtayarishaji Atron Gregory , Akshun, D'Flow Production Squad, DJ Daryl, Bobby Ervin, Laylaw, Special K, 2Pac, Underground Railroad
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za 2Pac
2Pacalypse Now
(1991)
Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.
(1993)
Thug Life: Volume 1
(1994)
Single za kutoka katika albamu ya Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.
  1. "Holla If Ya Hear Me"
    Imetolewa: 4 Februari 1993
  2. "I Get Around"
    Imetolewa: 10 Juni 1993
  3. "Keep Ya Head Up"
    Imetolewa: 28 Oktoba 1993
  4. "Papa'z Song"
    Imetolewa: 10 Machi 1994


Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. ni jina la kutaja albamu ya pili ya rapa wa West Coast 2Pac. Hii ipo sawa tu na ile ya kwanza, 2Pacalypse Now, albamu ina nyimbo kibao za 2Pac zinazosisitiza mitazamo ya kijamii na siasa kwa ujumla. Albamu ilitakiwa iitwe "Troublesome 21", hiyo 21 inataja umri wa Shakur kwa kipindi hicho. "N.I.G.G.A.Z." inasimama kama "Never Ignorant Getting Goals Accomplished." Yaani "Mjinga Kamwe Hafanikishi Malengo."

Ilivyotoka tu ikaingia #24 kwenye chati za Billboard 200, albamu hii imeona zaidi mafanikio kuliko hata ile iliotangulia, na kuna tofauti kibao katika utayarishaji ambazo zinaelezeka. Vibao kikali kutoka kwenye albamu hii ni "Keep Ya Head Up" na "I Get Around" na zimefika kiwango cha platinum. Ingawa albamu yenyewe kabisa ilitolewa chini ya Interscope, haki zote kwa sasa zinamilikiwa na Amaru Entertainment, studio inayomilikiwa na Afeni Shakur, mama yake rapa huyu.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
# Jina Mtayarishaji Wageni Waalikwa Muda
1 "Holla If Ya Hear Me" Stretch 4:38
2 "Pac's Theme (Interlude)" The Underground Railroad 1:56
3 "Point the Finga" Big D The Impossible 4:25
4 "Something 2 Die 4 (Interlude)" 2Pac; Big D The Impossible" 2:43
5 "Last Wordz" Bobby "Bobcat" Ervin Ice Cube, Ice-T 3:36
6 "Souljah's Revenge" Bobby "Bobcat" Ervin 3:16
7 "Peep Game" Bobby "Bobcat" Ervin Deadly Threat 4:28
8 "Strugglin'" Live Squad Live Squad 3:33
9 "Guess Who's Back" Special Ed 3:06
10 "Representin' 93" Truman Jefferson 3:34
11 "Keep Ya Head Up" DJ Daryl Dave Hollister 4:22
12 "Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z..." Blinky Billz 5:55
13 "The Streetz R Deathrow" Sniper Tipper 3:26
14 "I Get Around" Chocolate Clown Digital Underground 4:18
15 "Papa'z Song" Big D The Impossible Wycked, Poppi 5:26
16 "5 Deadly Venomz" Stretch Treach, Apache & Live Squad 5:13

Single za albamu

[hariri | hariri chanzo]
Maelezo ya Single
"Holla If Ya Hear Me"
"I Get Around"
"Keep Ya Head Up"
"Papa'z Song"

Albamu Chati

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Albamu Chati
Billboard 200 Top R&B/Hip Hop Albums
1993 Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. #24 #4

Single Chati

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Wimbo Chati
The Billboard Hot 100 Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks Hot Rap Singles Rhythmic Top 40 Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales
1993 "I Get Around" #11 #5 #8 #7 #2
1993 "Keep Ya Head Up" #12 #7 #2 #3 #2
1994 "Papa'z Song" #87 #82 #24 - -

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.