A Different Me
A Different Me | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya A Different Me.
|
|||||
Studio album ya Keyshia Cole | |||||
Imetolewa | 16 Desemba 2008 | ||||
Imerekodiwa | 2008 | ||||
Aina | R&B, hip hop soul | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Imani/Geffen, Interscope | ||||
Mtayarishaji | Keyshia Cole (exec.), Manny Halley (exec.), Ron Fair (exec.), Polow da Don, The Runners, The Outsyders, Kwamé, Orthodox & Ransom, Carvin & Ivan, Toxic, Tank, Jason T. Miller, Theron "Neffu" Feemster, Reo, Poke & Tone, Spandor | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
|
|||||
Wendo wa albamu za Keyshia Cole | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya A Different Me | |||||
|
A Different Me ni albamu ya tatu kutoka kwa mwanamuziki: Keyshia Cole, iliyotolewa mnamo 16 Desemba 2008 nchini Marekani.[1][2] Albamu hii imethibitishwa platinum na RIAA.[3]
Kuhusu albamu hii
[hariri | hariri chanzo]Albamu hii inazingatia upevu wa sauti na maneno ya Keyshia Cole.[4] Cole alieleza kuwa albamu zake za awali zilizingatia machungu yake, lakini sasa amebadilisha mwelekeo na kuwa mwamamke ambayee bado anakomaa na aliye katika harakati ya kujutafuta katika dunia hii.
Matokeo
[hariri | hariri chanzo]Andy Kellman wa hutoka Allmusic alipatia albamu hii nyota nne juu ya tano. Jim Farber wa kutoka Daily News (New York) pia aliipa nyota nne juu ya tano.[5]
Albamu hii ilifika namba 2 kwenye chati ya Billboard 200, na kuuza nakala 322,000 kwenye wiki yake ya kwanza.[6] Katika wiki yake ya pili, albamu hii ilishuka hadi namba 7, na kuuza nakala 127,000.[7] Katika wiki ya tatu na ya nne, albamu hii ilibaki kwa namba 7 na kuuza nakala 54,000 kwenye wiki ya tatu na nakala 37,000 kwenye wiki ya nne.[8][9] Katika wiki yake ya tano, albamu hii ilishuka hadi namba 9, na ikauza nakala 31,000.[10] Kwenye wiki ya sita, albamu hii ilipanda hadi namba sita, na kuuza nakala 31,000.[11] Katika wiki yake ya saba, albamu hiiilishuka hadi namba 8, na kuuza nakala 31,000.[12] Katika wiki yake ya nane, albamu hii ilishuka hadi namba kumi, na kuuza nakala 34,000.[13] Albamu hii imethibitishwa platinum na RIAA'. Mauzo ya nchini Marekani hadi Novemba 2009 ni takriban nakala 980,000.
Nyimbo zake
[hariri | hariri chanzo]# | Jina | Producer(s) | Urefu |
---|---|---|---|
1. | "A Different Me Intro" | Reo | 1:47 |
2. | "Make Me Over" | Polow da Don & Ron Fair | 3:06 |
3. | "Please Don't Stop" | The Runners & Ron Fair | 4:04 |
4. | "Erotic" | "THE-RON" Feemster (Additional Production by Ron Fair) | 4:10 |
5. | "You Complete Me" | "THE-RON" Feemster (Additional Production by Ron Fair) | 3:51 |
6. | "No Other" (featuring Amina Harris) | Kwamé (Additional Production by Ron Fair) | 3:35 |
7. | "Oh-Oh, Yeah-Yea" (featuring Nas) | The Outsyders | 3:58 |
8. | "Playa Cardz Right" (featuring 2Pac) | Carvin & Ivan and Ron Fair | 4:51 |
9. | "Brand New" | Additional Production by Ron Fair | 4:16 |
10. | "Trust" (with Monica) | Toxic Donald Alford and Ron Fair, Written By Keyshia Cole | 4:13 |
11. | "Thought You Should Know" | Tank and Ron Fair | 4:18 |
12. | "This Is Us" | Ron Fair and Jason T. Miller | 3:16 |
13. | "Where This Love Could End Up" | Poke & Tone and The ARE | 2:55 |
14. | "Beautiful Music" | Poke & Tone and Spanador | 3:59 |
15. | "A Different Me Outro" | Reo | 1:31 |
16. | "Playa Cardz Right (No Rap Version)" (iTunes bonus track) | Carvin & Ivan and Ron Fair | 3:57 |
17. | "I Love You (Part 3)" (featuring Lil Wayne) (iTunes bonus track) | Carvin & Ivan and Ron Fair | 4:23 |
Wafanyi kazi
[hariri | hariri chanzo]
|
|
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (2008) | Namba |
---|---|
U.S. Billboard 200[14] | 2 |
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[15] | 1 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Keyshia Cole official site". KeyshiaCole.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-29. Iliwekwa mnamo 2008-11-07.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help) - ↑ Mitchell, Gail (2008-11-07). "Keyshia Cole Shows A New Side Of 'Me'". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-11-18. Iliwekwa mnamo 2008-11-07.
- ↑ "RIAA - Platinum". RIAA. Iliwekwa mnamo 2009-03-19.
- ↑ "BET Keeps it all in the Family with the Return of 'Keyshia Cole: The Way It Is' and the New Original Series 'Brothers To Brutha'". MarketWatch. 2008-11-06. Iliwekwa mnamo 2008-11-07.
- ↑ Farber, Jim (2008-12-21). "A Keyshia Cole front". Daily News. Mortimer Zuckerman. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-07. Iliwekwa mnamo 2008-12-29.
- ↑ Cohen, Jonathan (2008-12-24). "Taylor Swift Trumps Big Debuts To Stay No. 1". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-25. Iliwekwa mnamo 2008-12-24.
- ↑ Hasty, Katie (2008-12-31). "Taylor Swift Reigns Again On Billboard 200". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-01. Iliwekwa mnamo 2008-12-31.
- ↑ Hasty, Katie (2009-01-07). "Taylor Swift Still In Control Of Billboard 200". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-14. Iliwekwa mnamo 2009-01-07.
- ↑ Hasty, Katie (2009-01-14). "Taylor Swift Tops Album Chart For Sixth Week". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-14. Iliwekwa mnamo 2009-01-14.
- ↑ Hasty, Katie (2009-01-21). "Swift Makes It Lucky Seven Atop Billboard 200". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-22. Iliwekwa mnamo 2009-01-21.
- ↑ Hasty, Katie (2009-01-28). "Taylor Swift Album Starts Eighth Week At No. 1". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-31. Iliwekwa mnamo 2009-01-28.
- ↑ Hasty, Katie (2009-02-02). "Springsteen Has 'Dream' Debut Atop Album Chart". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-04. Iliwekwa mnamo 2009-02-02.
- ↑ Hasty, Katie (2009-02-11). "The Fray Topples Springsteen On Billboard 200". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-14. Iliwekwa mnamo 2009-02-11.
- ↑ "The Billboard 200 - A Different Me - Keyshia Cole". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-06. Iliwekwa mnamo 2008-12-31.
- ↑ "Top R&B/Hip-Hop Albums - A Different Me - Keyshia Cole". Billboard. Nielsen Business Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-06. Iliwekwa mnamo 2008-12-31.