Nenda kwa yaliyomo

Slant Magazine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Slant Magazine
Kisarawww.slantmagazine.com
Aina ya tovutiFilamu na Muziki nyavuni
KujisajiriHakuna
Lugha asiliaKiingereza
Imeanzishwa na2001

Slant Magazine ni gazeti la mtandaoni ambalo linatoa ripoti ya mapokeo ya filamu, muziki, DVD na vipindi vya TV, na vilevile mahojiano na waigizaji, waongozaji, na wanamuziki.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Slant Magazine kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.