Method Man

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Method Man
Method Man mnamo 2010
Method Man mnamo 2010
Maelezo ya awali
Pia anajulikana kama Mef, Meth, The Panty Raider, Methtical, Tical, Ticallion Stallion, Hott Nikkels, Hot Nixon, Iron Lung, John-John Mclane, Johnny Blaze, John-John Blaizini, Johnny Dangerous, Shakwon, Ghost Rider, The MZA, Long John Silver
Amezaliwa 1 Aprili 1970 (1970-04-01) (umri 53)
Asili yake Hempstead, New York, Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Rapa, mwigizaji, mtunzi wa nyimbo
Miaka ya kazi 1991–mpaka sasa
Studio Def Jam
Ame/Wameshirikiana na Wu-Tang Clan, Method Man na Redman, Redman, Streetlife, Mary J. Blige, The Notorious B.I.G. B-Real, Busta Rhymes, LL Cool J, Erick Sermon,Tupac
Tovuti Method-Man.com

Clifford Smith (amezaliwa tar. 1 Aprili 1970) ni msanii wa muziki wa hip hop, mtayarishaji wa rekodi, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa jina lake la kisanii kama Method Man au Meth. Yeye ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Amechukua jina lake la kisanii kutoka kwenye filamu moja hivi ya mwaka wa 1979 iliyokwenda kwa jina la The Fearless Young Boxer - pia inajulikana kama Method Man. Huyu ni mmoja kati ya nusu kundi, yaani, Method Man na Redman. Amepata kushinda Tuzo ya Grammy akiwa kama Rapa bora kwa ajili ya wimbo alioimba na Mary J. Blige wa "I'll Be There for You/You're All I Need to Get By".

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Method Man kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.