1874
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| ►
◄◄ |
◄ |
1870 |
1871 |
1872 |
1873 |
1874
| 1875
| 1876
| 1877
| 1878
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1874 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 5 Januari - Joseph Erlanger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)
- 29 Januari - Owen Davis, mwandishi kutoka Marekani
- 9 Februari - Amy Lowell, mshairi kutoka Marekani
- 26 Machi - Robert Frost, mshairi kutoka Marekani
- 15 Aprili - Johannes Stark (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1919)
- 25 Aprili - Guglielmo Marconi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1909)
- 10 Agosti - Herbert Hoover, Rais wa Marekani (1929-33)
- 26 Agosti - Zona Gale, mwandishi wa kike wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1921
- 27 Agosti - Carl Bosch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931)
- 15 Novemba - August Krogh (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1920)
- 29 Novemba - Antonio Egas Moniz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
- 30 Novemba - Winston Churchill (Waziri Mkuu wa Uingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1953)
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 8 Machi - Millard Fillmore, Rais wa Marekani (1850-1853)