Nenda kwa yaliyomo

Carl Bosch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Carl Bosch
Carl Bosch (1931)
Amezaliwa27 Agosti 1874
Amefariki26 Aprili 1940
Kazi yakemwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani


Carl Bosch (27 Agosti 187426 Aprili 1940) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza njia za usanisi kwa kanieneo kubwa. Mwaka wa 1931, pamoja na Friedrich Bergius alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Bosch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.