Friedrich Bergius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Friedrich Bergius

Friedrich Bergius (11 Oktoba 188430 Machi 1949) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza ubadilishaji wa dutu mbalimbali, kwa mfano mkaa kuwa petroli, au mbao kuwa sukari. Mwaka wa 1931, pamoja na Carl Bosch alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Friedrich Bergius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.