Winston Churchill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Winston Churchill
Tuzo Nobel.png

Winston Leonard Spencer Churchill (30 Novemba 187424 Januari 1965) alikuwa mwanasiasa, mwanajeshi na mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Mara mbili alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, miaka ya 1940-45, na 1951-55. Mwaka wa 1953 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Pia, mwaka wa 1953 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.


Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Winston Churchill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.