Johannes Stark

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Johannes Stark, 1919

Johannes Stark (15 Aprili 187421 Juni 1957) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza maswali ya umeme. Mwaka wa 1905 aligundua athari ya Doppler katika mionzi maalumu. Mwaka wa 1919 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johannes Stark kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.