Millard Fillmore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Millard Fillmore

Millard Fillmore (7 Januari 18008 Machi 1874) alikuwa Rais wa 13 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1850 hadi 1853. Alianza kama Kaimu Rais wa Rais Zachary Taylor mwaka wa 1849 na kumfuata wakati wa kifo chake.

Tazamia pia[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Millard Fillmore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.