Jimmy Carter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Rais Jimmy Carter

James Earl Carter, Jr (amezaliwa 1 Oktoba 1924) alikuwa Rais wa 39 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1977 hadi 1981. Kaimu Rais wake alikuwa Walter Mondale.

Tazamia pia[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Carter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.