Chester Arthur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Rais Chester Arthur

Chester Alan Arthur (5 Oktoba 182918 Novemba 1886) alikuwa Rais wa 21 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1881 hadi 1885. Alianza kama Kaimu Rais wa James Garfield na kumfuata alipofariki.

Tazamia pia[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chester Arthur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.