James A. Garfield
Mandhari
(Elekezwa kutoka James Garfield)
James A. Garfield | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1881 – Septemba 19, 1881 | |
Makamu wa Rais | Chester A. Arthur |
mtangulizi | Rutherford B. Hayes |
aliyemfuata | Chester A. Arthur |
tarehe ya kuzaliwa | Moreland Hills, Ohio, Marekani | Novemba 19, 1831
tarehe ya kufa | 19 Septemba 1881 (umri 49) Elberon, New Jersey, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | James A. Garfield Memorial |
chama | Republican |
ndoa | Lucretia Rudolph (m. 1858) |
watoto | 7 |
mhitimu wa | Hiram College Williams College (Bachelor of Arts) |
signature |
James Abram Garfield (19 Novemba 1831 – 19 Septemba 1881) alikuwa Rais wa 20 wa Marekani kwa miezi michache tu mwaka wa 1881 hadi kifo chake. Kaimu Rais wake alikuwa Chester Arthur aliyemfuata kama Rais.
Tazamia pia
[hariri | hariri chanzo]}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James A. Garfield kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |