Joe Biden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Joe Biden, Kaimu Rais wa Marekani

Joseph Robinette "Joe" Biden Jr. (amezaliwa 20 Novemba 1942) ni mwanasiasa wa Marekani.

Kuanzia mwaka wa 1973 hadi 2009 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Delaware. Halafu alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Barack Obama kuanzia mwaka wa 2009 hadi 2017, akiwa Mkatoliki wa kwanza na pia Mdelaware wa kwanza kuwa Kaimu Rais.

Mnamo Machi wa mwaka 2019, Biden alisema anataka kugombea nafasi ya Rais wa Marekani mwaka 2020.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joe Biden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.