Thomas Jefferson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Thomas Jefferson

Thomas Jefferson (2 Aprili 17434 Julai 1826) alikuwa Rais wa tatu wa Marekani kuanzia mwaka wa 1801 hadi 1809. Pia alikuwa mwandishi wa katiba ya Marekani aliyetumia nadharia ya John Locke na kupanga hoja za kupinga Marekani kuendelea kuwa chini ya mfumo wa utawala wa kifalme chini ya Uingereza.

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Jefferson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.