Calvin Coolidge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Calvin Coolidge

Calvin Coolidge (4 Julai 18725 Januari 1933) alikuwa Rais wa 30 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1923 hadi 1929. Alianza kama Kaimu Rais wa Warren Harding aliyemfuata baada ya kifo chake. Kaimu Rais wake Coolidge kuanzia mwaka wa 1925 alikuwa Charles Dawes.

Tazamia pia[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Calvin Coolidge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.