Warren G. Harding

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Warren Harding)
Warren Harding


Muda wa Utawala
Machi 4, 1921 – Agosti 2, 1923
Makamu wa Rais Calvin Coolidge
mtangulizi Woodrow Wilson
aliyemfuata Calvin Coolidge

Muda wa Utawala
Machi 4, 1915 – Januari 13, 1921

tarehe ya kuzaliwa (1865-11-02)Novemba 2, 1865
Ohio, Marekani
tarehe ya kufa 2 Agosti 1923 (umri 57)
San Francisco
chama Republican
mhitimu wa Ohio Central College
signature

Warren Gamaliel Harding (2 Novemba 18652 Agosti 1923) alikuwa Rais wa 29 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1921 hadi 1923. Kaimu Rais wake alikuwa Calvin Coolidge aliyemfuata kama Rais, Harding alipofariki wakati wa awamo yake.

Tazamia pia[hariri | hariri chanzo]

}}

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warren G. Harding kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.