William McKinley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
William McKinley

William McKinley (29 Januari 184314 Septemba 1901) alikuwa Rais wa 25 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1897 hadi 1901. Kaimu Rais wake alikuwa Garret Hobart (1897-99), na Theodore Roosevelt (tangu 1901) aliyemfuata kama Rais, McKinley alipofariki wakati wa awamo yake ya pili.

Tazamia pia[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William McKinley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.