Buffalo, New York

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Buffalo, New York






Buffalo

Bendera
Buffalo is located in Marekani
Buffalo
Buffalo

Mahali pa mji wa Buffalo katika Marekani

Majiranukta: 42°54′17″N 78°50′58″W / 42.90472°N 78.84944°W / 42.90472; -78.84944
Nchi Marekani
Jimbo New York
Wilaya Erie
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 272,632
Tovuti:  www.city-buffalo.com
South Lake

Buffalo ni mji mkubwa wa pili katika New York baada ya New York City. Mji wa Buffalo uko kando la Mto Niagara.

Anwani ya kijiografia ni 42°54'N na 78°50'W. Idadi ya wakazi ni 272,632 (2007). Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 183 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Meya wa mji ndiye Byron Brown aliyechguliwa mwaka wa 2005.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya New York bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Buffalo, New York kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.