Franklin D. Roosevelt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
FDR, 1933

Franklin Delano Roosevelt (30 Januari 188212 Aprili 1945) alikuwa Rais wa 32 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1933 hadi 1945. Kaimu Rais wake alikuwa John N. Garner (1933-41), halafu Henry A. Wallace (1941-45), na hatimaye Harry S. Truman aliyemfuata kama Rais, Roosevelt alipofariki katika awamo yake ya nne.

Tazamia pia[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Franklin D. Roosevelt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.